Monday, September 17, 2007

Nichek kwa makini- nikiona vipi narudi South au sio bwana?



Ndo maana yake , kimtindo bongo michosho ona nilivyoiva kwa Madiba

Ona mazingiara ya wenzetu


Hapa kwetu ni uchafu kunuka, luk here so beutifully pls guy lets learn from our freinds
Cheers

Du mshikaji bongo ni noma......

Hellow
guys am back home, jamani lazima niseme baada ya kurudi kutoka bondeni aambapo nilikaa kwa muda wa wiki mbili sasa ndo nakaribia kutua dia... tobaaa... vijinyumba hivyo? yallaaa kama nashuka porini au rubani kapotea.... au dharau ajisemee Joti wa ze Komedi mimi sijui but.... haya naland DIA, wenyewe tunauita eti " mwalimu nyerere internatinal airport is it?'' just i refer back to Jorberg, then To Port Elizaberth the small town compare to Dar wanao uwanja wa ndege mkubwa tena wa kisasa zaidi ya bongo. Hii si ni aibu kwa taifa hili lenye wasomi na watu zaidi ya milioni 35? Hivi nikuulize Mbongo mwenzangu hawa viongozi serikalini wanafanya nini? Kweli nilitamani nirudi SA nilivyokuwa napokelewa na vijumba- tena visivyo kwenye utaratibu maalum, hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania? nisemenini mie mwana wa Thonya mimi mkakati nilionao muda huu ni kusoma kwa bidii kwani nahisi bongo tunayeyushana.Kila kukicha viongozi wetu wanaenda nchi za nje hivi hata kuiga maendeleo ni shida au ndo mawazomgando.... Kudadadeki.
Ok nikizipata nitakuwa kama Ndesanjo nakaa zangu Ughaibuni nawachora tu wajukuu wa Mwalimu Nyerere.
Ni hayo tu kwa sasa

Wednesday, September 12, 2007

Nami najua kujicomposenzi kwenye picha

Haya ona pozi hilo, nahisi kupozi nami nipo, this mKenyan Lady look fun

Hawa ni wasouth- ni katika msosi now


Thabile na Grorious of SABC tunakata Starter hii bongo hamna hadi Kempiski. Sasa South kama home nina offer ya nyumba, msosi na usafiri hadi Cape Town from this friend of mine.

check-shia hapa wakifanya vitu


Ona mtu wangu hawa mafiki zolo walivyojiachia, usipime nilikuwa kama sijiamini vile. Kama kawa nikaingia stejini kudansi nao

Hapa tukitumbuizwa na Mafiki zolo Live


Jamani Bondeni kuna raha haya huu ukumbi unajibadilisha kama kinyonga, haya Bongo tutafika lini huku?, au tumwambie Jk nae afanye kama anko Ben alivyotujengea National Stadium nae atujengee ukumbi kama huu. Usipime mtu wangu ni kiboko