Monday, September 17, 2007

Nichek kwa makini- nikiona vipi narudi South au sio bwana?



Ndo maana yake , kimtindo bongo michosho ona nilivyoiva kwa Madiba

3 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Usipime.Kuna wale maprofesa wa masuala ya mazingira nao wanakimbia fani zao na kuingia kwenye mchezo mchafu AKA siasa,labda nasema labda wangelirudi wangelifanya mji kupendeza

Ansbert Ngurumo said...

Nakuona unavyotesa. Hongera!

Ansbert Ngurumo said...

umeishia wapi? Mbona umeach kuweka vitu vipya?