Monday, September 10, 2007

Nilipokutana na Ndesanjo na Ngurumo


Hapa panaitwa Olde 65 Rhodes University, Grahamstown, Afrika Kusini, Septemba 9, 2007. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na waandishi hawa wawili wa Tanzania.

1 comment:

Ansbert Ngurumo said...

Umeishia wapi? Sioni mpya mpya. Umekata tamaa?