Monday, September 10, 2007

sikiliza sauti hii ufike

Ndugu
Huhitajiki kuwa na elimu ya PHD....Masters... Au BA. kupata ujuzi na maarifa, siipingi elimu la hasha hapa ninataka kukwambia unahitaji msukumo wa kuthubutu na atittude ya kupenda kujifunza mambo chanya. Nasema Chanya kwa nini kwa sababu Sisi watanzania tumekua hatutumii nafasi mbalimbali za kujifunza kwa kutumia mitandao au wenzetu walio nchi mbalimbali nakualika sasa rafiki tumia nafasi hii elimika.

1 comment:

Ndesanjo Macha said...

Nimefurahi kuona jinsi ambavyo una shauku kubwa ya kujifunza kila kitu kipya unachokisia ili kujikuza kitaaluma na kibinafsi. Endelea na moyo huo dada yetu.